F FURY BORN JF-Expert Member Joined Jul 11, 2020 Posts 638 Reaction score 1,150 Mar 8, 2021 #21 kikoozi said: naipataje boss wangu. Click to expand... Siko home man niko nje ya DAR kikazi ngoja nitajaribu kurecover nilikuwa na mchoro wa Tanesco ambao unaonyesha ramani
kikoozi said: naipataje boss wangu. Click to expand... Siko home man niko nje ya DAR kikazi ngoja nitajaribu kurecover nilikuwa na mchoro wa Tanesco ambao unaonyesha ramani
kikoozi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 2,094 Reaction score 3,108 Mar 8, 2021 #22 FURY BORN said: Siko home man niko nje ya DAR kikazi ngoja nitajaribu kurecover nilikuwa na mchoro wa Tanesco ambao unaonyesha ramani Click to expand... Ntashukuru sana mkuu
FURY BORN said: Siko home man niko nje ya DAR kikazi ngoja nitajaribu kurecover nilikuwa na mchoro wa Tanesco ambao unaonyesha ramani Click to expand... Ntashukuru sana mkuu
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Mar 8, 2021 #23 MUNDENDE said: Mmmh mkuu sio kwamba unamtisha sna jamaa. Bati za namna gani hizo? Click to expand... Mahesabu yangu haya hapa Msaada: kuezeka nyumba yenye square metre 371 gharama kiasi gani? Habari. Kuna kibanda cha square metre 371 kimefikia hatua ya kupaua na kuweka bati , je makadirio ya gharama inaweza kuwa shs ngapi? Natangiliza shukrani. www.jamiiforums.com
MUNDENDE said: Mmmh mkuu sio kwamba unamtisha sna jamaa. Bati za namna gani hizo? Click to expand... Mahesabu yangu haya hapa Msaada: kuezeka nyumba yenye square metre 371 gharama kiasi gani? Habari. Kuna kibanda cha square metre 371 kimefikia hatua ya kupaua na kuweka bati , je makadirio ya gharama inaweza kuwa shs ngapi? Natangiliza shukrani. www.jamiiforums.com