Msaada kufahamu dawa ya 'Red Eyes' na allergy.

Msaada kufahamu dawa ya 'Red Eyes' na allergy.

Bondpost

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
7,019
Reaction score
10,455
Ndugu zangu habari ya leo, nimeamka asubuhi kijana wangu amdpatwa na ugonjwa wa RED EYES yani haoni na pia ana allergy amevimba uso kama ametembelewa na washawasha, wale wenye kujua dawa please help naenda hospital lakini nasikia red eyes haina dawa eti ni kunawa tu kwa maji ya chumvi ni kweli wandugu?
 
Tumia majani ya chai na chunv,i hasa mvuke wake na kisha osha na maji hayo
 
Kuwa Chonjo sana huo ugonjwa huambikiza kwa Njia ya Hewa(Upepo)

Ukishaona hivyo tumia kinga ya Kuosha macho yaani suuza uso wote kwa maji ya Sabuni ukiwa Umefumba macho then jaribu kufumbua ili povu la Sabuni liingie ndani ya macho vumilia kidogo ukiona unazidiwa nawa fasta kwa maji masafi kama umekomaa rudia zoezi, hapo utakuwa upo salama ni kinga tosha na ni dawa pia kwa aneyeugua huo ugonjwa

Dawa za Hospital zitakuvimbisha uso na kuchelewa kupona na utakuwa unaambikiza tu watu ovyo... Sabuni Nzuri ni Imperial... mie msimu wa huo Ugonjwa ukifika napeta tu na kinga yangu kila nikimuona mwenye huo ugonjwa sioni taabu ya kusafisha macho kwa mapovu ya Sabuni ya Kuogea Imperial
 
huo ugonjwa hauna dawa utaisha wenyewe, ila kama unaweka uchafu(tongotongo) tumia antibiotics eye drops.
 
Back
Top Bottom