Ndugu zangu habari ya leo, nimeamka asubuhi kijana wangu amdpatwa na ugonjwa wa RED EYES yani haoni na pia ana allergy amevimba uso kama ametembelewa na washawasha, wale wenye kujua dawa please help naenda hospital lakini nasikia red eyes haina dawa eti ni kunawa tu kwa maji ya chumvi ni kweli wandugu?