Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 736 Reaction score 1,656 May 20, 2026 #1 Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo
Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 7,258 Reaction score 14,942 May 20, 2026 #2 Hapa ndo utajua urasimu wa nchi yako, karibu kwenye game!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 May 20, 2026 #3 Wizara Ya Viwanda Anzia Hapo Japo Nchi Nyingine Huombwi Chochote Zaidi Utalipia Pesa Kulingana Na Vibari Tanzania Uvae Shati La Mikono Mirefu
Wizara Ya Viwanda Anzia Hapo Japo Nchi Nyingine Huombwi Chochote Zaidi Utalipia Pesa Kulingana Na Vibari Tanzania Uvae Shati La Mikono Mirefu
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 736 Reaction score 1,656 May 20, 2026 Thread starter #4 Kennedy said: Wizara Ya Viwanda Anzia Hapo Japo Nchi Nyingine Huombwi Chochote Zaidi Utalipia Pesa Kulingana Na Vibari Tanzania Uvae Shati La Mikono Mirefu Click to expand... Shukrani sana
Kennedy said: Wizara Ya Viwanda Anzia Hapo Japo Nchi Nyingine Huombwi Chochote Zaidi Utalipia Pesa Kulingana Na Vibari Tanzania Uvae Shati La Mikono Mirefu Click to expand... Shukrani sana
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,913 Reaction score 2,662 May 22, 2026 #5 Leo ni kufungua kampuni kama nani ? Kupaki dawa na kusambaza au ikoje ?