Msaada kufanya na kufaulu mitihani ya CISA

kintu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
541
Reaction score
133
Ndugu wana JF mie ni mfanyakazi lakini nataka nifanye mitihani ya CISA kwa kujisomea mwenyewe.
Naomba kwa mtu anayejua utaratibu wa jinsi ya kujiandikisha kufanya mitihani , mahala inapofanyiwa kwa hapa tanzania ni wakati gani mitihani hii ufanywa.Pia msaada wa material yoyote yanayoweza kumsadia mtu kufaulu mitihani hii.

Naomba mwenye information yoyote au mtu anayesoma au aliyewahi kusoma tupeane ushauri.
 

Mtafute humu jamaa Mmoja anaitwa mzee wa ndonga anafundisha masomo ya CISA @ Mzee wa ndonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…