Hapo mbezi kuna daladala zinafika mpaka hospitali inaitwa Tumbi panda hizoHabari za Asubuhi
Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital.
Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho.
Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na mpaka muda huu nimeshaanza safari now nipo Malamba Mawili so Maelekezo yaanzie Mbezi Stand
Naomba kuwasilisha
Thanks mkuu, kumbe nilikosea hospital ni ya binafsi na inaitwa MEDEWELL ni Maarufu kwa jina LA hospital ya Macho KIBAHA..Hapo mbezi kuna daladala zinafika mpaka hospitali inaitwa Tumbi panda hizo
Thanks mkuu nimeshafikaMEDEWELL au WIPERS ukifika Kiluvya Madukani ukiulizia utaelekezwa ilipo.
Mbona umeacha hospital hapo Tandika ya macho, ndugu wa hao medwellThanks mkuu, kumbe nilikosea hospital ni ya binafsi na inaitwa MEDEWELL ni Maarufu kwa jina LA hospital ya Macho KIBAHA..
Nimeshafika Nashukuru sana