Msaada kufundishwa ku-bet basketball

Msaada kufundishwa ku-bet basketball

Basketball ni mchezo unaochezwa Kwa vipindi viwili (halves) lakini hivo vipindi vimegawangika tena mara mbili tena na kua quarters....
Hivo Kwa lugha rahisi basketball inachezwa katika vipindi vinne yaani 4 quarters....

Sasa kama unataka Ubeti basketball lazima kitu ujue kimoja kua basketball sio kama football kwamba ni dakika 90 dunia nzima...
Basketball yenyewe inabadilika kuna nchi wanacheza Kwa dakika 10 wengine 12 sometimes kwenye development league unakuta ni dakika 15...

Basketball unaweza kubeti Tu kawaida Nani ashinde, au magoli au handicap....

Lakini best options kwangu ni kubeti magoli kwenye quarters... Hasa live match... Kwa mfano league ya marekani NBA... yenyewe ni dakika 12... So Kwa quarter moja unakuta inatoa vikapu 48 Hadi 64... So hapo ni wewe Tu kubahatisha.. na ili upatie vizuri subiri quarter icheze japo dakika tatu then inakua ni rahisi kutabiri.. mfano ikifika dakika ya tatu na quarter tayari ina vikapu 12+ tegemea kupata vikapu 54+ so ni wewe Tu kujilipua...

Karibu kwenye Chama lenye high risk na high pressure kupiga na kupigwa ni sehemu ya mchezo Nigga
 
Basketball ni mchezo unochezwa Kwa vipindi viwili (halves) lakini hivo vipindi vimegawangika tena mara mbili tena na kua quarter....
Hivo Kwa lugha rahisi basketball inachezwa katika vipindi vinne yaani 4 quarters....

Sasa kama unataka Ubeti basketball lazima kitu kimoja kua basketball sio kama football kwamba ni dakika 90 dunia nzima...
Basketball yenyewe inabadilika kuna nchi wanacheza Kwa dakika 10 wengine 12 sometimes kwenye development league unakuta ni dakika 15...

Basketball unaweza kubeti Tu kawaida Nani ashinde, au magoli au handicap....

Lakini best options kwangu ni kubeti magoli kwenye quarters... Hasa live match... Kwa mfano league ya marekani NBA... yenyewe ni dakika 12... So Kwa quarter moja unakuta inatoa vikapu 48 Hadi 64... So hapo ni wewe Tu kubahatisha.. na ili upatie vizuri subiri quarter icheze japo dakika tatu then inakua ni rahisi kutabiri.. mfano ikifika dakika ya tatu na quarter tayari ina vikapu 12+ tegemea kupata vikapu 54+ so no wewe Tu kujilipua...

Mkuuu ntumie no yako dm
 
Ligi nzuri kw kubet katika basketball ni NBA USA, Euroleague, NBB Brazil, NBL Bulgaria, CBA China, Pro A France, BBL Germany, Super League Israel, Seria A Italy, VTB United League Russia, Liga ACB Spain. Kazi kwako, ushidwa wewe tu.
 
Shukran mkuu
 
A

Loo kweli
 
Lakini best options kwangu ni kubeti magoli kwenye quarters... Hasa live match... Kwa mfano league ya marekani NBA... yenyewe ni dakika 12... So Kwa quarter moja unakuta inatoa vikapu 48 Hadi 64... So hapo ni wewe Tu kubahatisha.
Sio kweli, alafu ukiweka ela nyingi wanachukua, hata kama ulishinda.
 
Back
Top Bottom