Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu, nataka kufungua account kwa ajili ya shirika lisilo na faida. Ni njia gani nitatumia ili nisilipe kodi. Kwani account si ya kibiashara ni kwa ajili ya msaada tu. Kuna wakati nitapata fedha kutoka nje na pia ndani ya nchi. Naombeni msaada wenu.