Wakuu kwema?
Nina mpango wa kufungua akaunti kwenye kampuni tajwa hapo juu. Lengo ni kuweza kubet makampuni ya kubet ya nje. Nina sababu fulani muhimu za kuchagua makampuni hayo ya kubet.
Kuna anaejua jinsi ya kusajili, funds transfer charges na chochote cha muhimu kujua juu ya haya makampuni ya kuhifadhi fedha?