Msaada kufungua kampuni ya clearing and forwarding.

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
345
Habari wana jamvi,
Naomba kujuzwa taratibu,gharama na mambo ya muhimu yanayohitajika ili kuweza kufungua kampuni ya clearing and forwarding hapa Tanzania.
Nategemea kupata michango mizuri ya kimawazo kutoka kwenu.
Ahsanteni.
 
kampuni za uwakala wa utoaji mizigo leseni hutolewa na TRA ni vizuri utembelee kwenye ofisi za idara ya forodha makao makuu mtaa wa sokoine au TAFFA tanzania freight forwardes association kwa ufahamu zaidi
 
ndugu yangu TRA wameshitisha utoaji wa leseni za uwakala ni mwaka 3 sasa endelea kusubili tu ila anza na hili

1, sajili kampuni yako BRELA
2, andaa MEMORANDUM
3, mkataba ya nyumba ambapo ofc zitakuwepo ili SUMATRA na TRA wajekugagua muda ukifika
4, andaa kijana wa kufanya mtihani CHUO CHA KODI
etc kwa uchache huu ndio ufahamu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…