s8plus
Member
- Aug 14, 2017
- 74
- 25
Ni kwamba kuna dada yangu ameolewa na jamaa wamepata mtoto mmoja ila tatizo ni huyu shemeji yangu. Hataki kufanya kazi yoyote, Yeye ni msomi lakini inafikia wakati hata hela ya Diapers hawana lakini jamaa anashinda amekaa ndani tu. Amepata deals za kazi hadi za kumlipa 1.5M lakini hataki kufanya kazi. Anamwambia mke wake ataanza lini kufanya kazi la sivyo watakufa njaa.
Sasa ndugu zake wanakuja kumnyanyasa huyu dada yangu kwa maneno wakati psychologically kwanza hayuko fit sana kwa sababu ya huyu mume wake.
Anamsababishia matatizo mengi sana wadau coz pia anampiga sana na anatoka kwenda kunywa pombe anarudi usiku sana anatumia pesa ambazo wamepewa zawadi na watu kwa ajili ya mtoto mchanga ambaye ndio kwanza ana mwezi mmoja tu. msaada please wadau