Punguza utani bana...SIO KUSAGA HUKO
Vitu vinavyohitajika kinu cha kukoboleya mahindi, kinu cha kusagia mahindi, motor mbili kwa ajili ya vinu hivyo. Kuna aina mbili ya vinu cha kwanza kinatengenezwa sido na cha pili kinatengenezwa mtaani kwa moter zipo za china na italy piya zipo za kusukwa mtaani bei ya kinu ni 1.2 million *2 na motor nayo ni kama 1.5 millioni *2 vinu na moter mkaanda, pulling, inaweza kufika kama millioni 7 hadi 8 mizani kubwa, eneo kwa ajili ya hiyo biashara, umeme 3 phase , leseni kutoka mamlaka ya chakula. Mahindi kwa sasa kg ni 750/= gunia 75000/= bei ya kiroba kwa ajili ya package ni 400 kwa kiroba, tani 10 inatowa viroba 270 hadi 280 vya sembe kg 25 tani 10 piya inatowa magunia 45 ya pumba umeme ni kama 150000/=, labour charges ni kama 100,000/= bei ya tani 10 ya mahindi kwa sasa ni 7,500,000/= kazi kwako kufanya hesabu kama inalipa au hapana
Habari wanaJF.
Naombeni msaada wenu, nataka nifungue mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Naombeni mnisaidie jumla ya gharama kwaajili ya kufanikisha hiyo shughuli. Inshort nataka kufungua kikampuni changu cha kusambaza sembe madukani ila nikiwa nasaga mimi mwenyewe.
Natanguliza shukrani za dhati.
Kwa mahesabu haya inaonekana hii biashara hailipi. Swali: hawa waliopo kwenye hii biashara wanapataje faida?Vitu vinavyohitajika kinu cha kukoboleya mahindi, kinu cha kusagia mahindi, motor mbili kwa ajili ya vinu hivyo. Kuna aina mbili ya vinu cha kwanza kinatengenezwa sido na cha pili kinatengenezwa mtaani kwa moter zipo za china na italy piya zipo za kusukwa mtaani bei ya kinu ni 1.2 million *2 na motor nayo ni kama 1.5 millioni *2 vinu na moter mkaanda, pulling, inaweza kufika kama millioni 7 hadi 8 mizani kubwa, eneo kwa ajili ya hiyo biashara, umeme 3 phase , leseni kutoka mamlaka ya chakula. Mahindi kwa sasa kg ni 750/= gunia 75000/= bei ya kiroba kwa ajili ya package ni 400 kwa kiroba, tani 10 inatowa viroba 270 hadi 280 vya sembe kg 25 tani 10 piya inatowa magunia 45 ya pumba umeme ni kama 150000/=, labour charges ni kama 100,000/= bei ya tani 10 ya mahindi kwa sasa ni 7,500,000/= kazi kwako kufanya hesabu kama inalipa au hapana
Kwa mahesabu haya inaonekana hii biashara hailipi. Swali: hawa waliopo kwenye hii biashara wanapataje faida?
Kwa mahesabu haya inaonekana hii biashara hailipi. Swali: hawa waliopo kwenye hii biashara wanapataje faida?
pia wanaiba umeme
Hailipi kwa mahesabu ya huyu jamaaKwa mahesabu haya inaonekana hii biashara hailipi. Swali: hawa waliopo kwenye hii biashara wanapataje faida?