DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Tanzania sasa imekua si sehemu salama kibiashara kwa upande wangu, tangu mwaka jana November sijawahi kuona faida ya biashara, matumizi yamekua makubwa kuliko faida, yes nikaona isiwe shida nikaifunga biashara tangu mwezi wa 7 mwaka huu ili nipange mipango mipya.
Sasa baada ya kufanya kautafiti nimeadhimia kuondoka nchini ili nikaendeleze biashara yangu au kufungua biashara mpya Dubai.
Hapa Tz nilikua nikifanya biashara ya nguo. Nina familia ya mke na watoto 2, lakini pia nina wadogo zangu na ndugu wa mke wangu na wote ni wanafunzi. So kuyumba kwangu ni kuyumba kwao pia.
Kwahiyo mwenye uelewa wa kupata viza ya kuishi na kufanya biashara anisaidie ili nijue pakuanzia.Pia naomba kujua ni biashara gani itanitoa kimaisha? Mtaji wangu ni around $65,000 tu.
Naomba kuwasilisha!