T Thebony Member Joined Aug 16, 2012 Posts 92 Reaction score 2 Oct 25, 2012 #1 Jaman kwa mwenye kujua taratbu za kufuata anijulishe nataka kuhamisha mkopo wangu toka sua to Ardhi
M mdunya JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 759 Reaction score 128 Oct 26, 2012 #2 Subiri siku 60 mkopo wako unarudi Loan board toka SUA nao wanakusanya taarifa na kuzituma ndani ya siku 30 kuja UCLAS
Subiri siku 60 mkopo wako unarudi Loan board toka SUA nao wanakusanya taarifa na kuzituma ndani ya siku 30 kuja UCLAS