Wakuu wa Vitengo habarini!
Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa.
Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu ya tumbo wala nini ila tatizo ni kuharisha tu
naombeni ufumbuzi wa hili janga.