Msaada kuhusiana na Interview

Msaada kuhusiana na Interview

Ukitu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
216
Reaction score
181
Habari Jamii Forums;

Nili apply internal vacancy sasa nimepata email na kupigiwa simu kuhusiana na interview.

Email imeandika EES Discussion

Nimejaribu ku google EES ni Employee Effort Score.

Mwenyewe uwelewa wa undani zaidi kuhusiana na interview ya namna hii inakuwaje na baadhi ya maswali.Naomba msaada
 
Kama ni internal means mtakua mnadiscuss tu na sio interview. Huo ni mtazamo wangu sababu kuna jamaa yangu alikua teller Nmb bank,zikatokea nafasi za relationship officer zilitangazwa internally nae akaomba,siku ya usahili haikua interview kama hizi tulizozizoea badala yake walikua tu kama wanajadiliana kuhusiana na hiyo position, majukumu yake na mambo ya maslahi.
Asante
 
Kama ni internal means mtakua mnadiscuss tu na sio interview. Huo ni mtazamo wangu sababu kuna jamaa yangu alikua teller Nmb bank,zikatokea nafasi za relationship officer zilitangazwa internally nae akaomba,siku ya usahili haikua interview kama hizi tulizozizoa badala yake walikua tu kama wanajadiliana kuhusiana na hiyo position, majukumu yake na mambo ya maslahi.
Asante
Ahsante sana, natumaini pia itakuwa ivo na hii
 
Back
Top Bottom