hermanthegreat JF-Expert Member Joined Mar 2, 2021 Posts 1,274 Reaction score 3,282 Sep 1, 2024 #1 Wakuu kwema , Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu. Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
Wakuu kwema , Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu. Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili