Msaada kuhusu AC ya kwenye gari

Asante wandugu... Nimeelewa.

Long live JF
 
Duh sasa huyo anakufa akiwa anaishi Darwin? Maana ni fully ac kila sehemu..vitu vingine ni imani tu hakuna cha allergy wala nn
Just be grateful hayajakukuta. Kama hujawahi kuyaona haimaanishi hayapo.
 
Just be grateful hayajakukuta. Kama hujawahi kuyaona haimaanishi hayapo.

Mmh mmh mmh sibishu lakini nikujuze tu kuna sehemu hapa duniani huishi bila ac ndugu..km umeshatokamo Tz utanielewa
 
Duuh ukiweka On gari kisha ukiwasha Ac inafanya kazi kama kawa sasa hapo mafuta gani yanatumika..[emoji1495]
 
Washa kabisa
1.utaepuka vibaka
2.consumption ya wese c Kama pple zinavyozdisha

Pox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…