habari zenu wakuu.
Nimesoma diploma ya computer engineering lakini wakati nasoma chuoni nilipata kazi kwenye kampuni ambayo ni contactor wa telecom operator niliamua kufanya kazi kwani sikua na pesa za ada hivo nikaamua kutafuta kazi ili nipate hela ya kulipa ada na kujikimu. katika kampuni hiyo nilifanya kazi katika position ya NMC au inafahamika kama call centre au contol room operator. hadi namaliza diploma yangu nilikua katika position hiyo na kwa bahati mbaya nilifukuzwa kazi baada ya kumaliza diploma program. mungu mkubwa niilipata kazi ktk kampuni nyingine amabayo ni contactor wa telecom operator ambayo naendelea nayo hadi sasa on the same position.
Ninachokiona hapa ni kuwa kazi ninayofanya na kitu nilichosoma ni tofauti japo kazi yenyewe ni nzuri ila nilnafikiria zaidi kufanya kile nilichokisoma kwa sababu ndio interest zangu zaidi. naombeni ushauri wenu ndugu zangu katika hili nifanyeje? kwani umefika wakati hadi nasahau vitu nilivyosoma darasani.. Naomba ushauri tafadhali
Asanteni wana JF