Mtoto mdogo alipewa maziwa ya Ng'ombe kwa muda wa week baada ya hapo Ngozi yake ilianza kubadilika ikawa na mabaka mabaka na kavuu sana na vipele.. Inaonekana ni Allergy ya maziwa sasa Hospital wamenambia itaisha taratibu lakini nimeona niulize hapa Jf labda kuna wataalamu zaidi wanisaidie dawa jamani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Hosp walinipa mafuta ya Epimax lakini sioni kama yanamsaidia