Not necessary to see OB/GYN for the minor clinical illness like that. It can be managed by normal Doc.. Eg. AMo &clinical officer si hospital au vituo vyote vya tiba Vina ma specialist wa kina mama.Ni vizuri zaidi mtu akiwa mjamzito, anapoumwa ugonjwa wowote ule amuone daktari wa wanawake i.e OB/GYN
Baadhi ya dawa zina madhara kwa wajawazito na madaktari wa kawaida huandika dawa ili mradi dawa.
Hizo dawa azipeleke kwa daktari wa wanawake azithibitishe kwanza
Asante saanaDr yuko sawa amoxicillin ni salama kabisa kwa mama mjamzito atumie bila wasiwasi.
Mbaya ni Ciprofloxacin tabs/Chloramphenicol Caps hazifai kwa wajawazito
AsanteYap Amoxyln na Erithromyacine inakubalika sana tu,hata usipo muona mganga wa wanawake.
Amox 250 aiseeeeh mmmhHabari zenu wana jf......
Mdogo wangu ni mjamzito mimba kama mwenzi mmoja hivi ameenda hospitali ameambiwa ana U.T.I na TYPHOID amepewa amoxicillin 250mg atumie kwa siku kumi na anakunywa 2×3
Je wapendwa kwa hali yake ni sahihi.
250mgDr yuko sawa amoxicillin ni salama kabisa kwa mama mjamzito atumie bila wasiwasi.
Mbaya ni Ciprofloxacin tabs/Chloramphenicol Caps hazifai kwa wajawazito
ExactlyNot necessary to see OB/GYN for the minor clinical illness like that. It can be managed by normal Doc.. Eg. AMo &clinical officer si hospital au vituo vyote vya tiba Vina ma specialist wa kina mama.
Extend dose to 500mg for almost 14dqys...kwasababu ya kusupress typhoid na katibu kabsa utiAsante saana
Low doses Ndugu sijui Dr katumia kigezo gani kufanya precription250mg
Habari zenu wana jf......
Mdogo wangu ni mjamzito mimba kama mwenzi mmoja hivi ameenda hospitali ameambiwa ana U.T.I na TYPHOID amepewa amoxicillin 250mg atumie kwa siku kumi na anakunywa 2×3
Je wapendwa kwa hali yake ni sahihi.
One cap has 25omg and the frequency of taking medication is two Caps three times per day. The dose is correct.Low doses Ndugu sijui Dr katumia kigezo gani kufanya precription
No please! May be alikuwa na tatizo jingine. Amoxicillin is safe kwa pregnant mother.it doesn't have abortifient effectAsinywe hizo dawa, aende kwanza kwa Gynecologist wao hujua antibiotic zipi zinawafaa wajawazito. Hawa madactary wengine wanaweza kukupa dawa zikamdhuru mtoto. Mimi wife alishamiscarriage baada ya kuandikiwa dawa kama hizo.
No please! May be alikuwa na tatizo jingine. Amoxicillin is safe kwa pregnant mother.it doesn't have abortifient effect
Siamini na siwezi kupinga KWA 100% maana amoxicillin kwa pregnancy risk iko category B. Ambayo inaeleza kuwa wanyama waliofanyiwa majaribio kwa hiyo dawa wakiwa na mimba hakuna aliyepata madhara. Ila hakuna detailed research kwa mwanadamu.. Ila kwa clinical practice dawa ni salama kwa mjamzito....ok.. Upande wa mimba kuharbika huenda bi mkumbwa alikuwa na threatened abortion na daktari aka misdiagnose.Mpaka mtu kupata abortion kuna sababu nyingi na sisipotizamwa kwa uaangalifu madhara hutokea. Nafikiri usiitizame dawa peke yake huenda kuna sehemu daktari alichemsha na kushindwa kumtibu huyo Mama tatizo la msingi.Then may be ilitrigger hilo tatizo, maana nachokumbuka baada ya siku ya tatu tu hali yake ilianza kubadilika na kabla wiki haijakata akadrop matone.
Kweli inaonekana hakumuekeza dr na kwa mwenzi mmoja dr hawezi kujuaInatakiwa mjamzito kama anaumwa na ameonana na daktari inabidi aeleze pia kama ni mjamzito ili daktari awe anajua mapema