Msaada kuhusu anti D na negative rhesus kwa mjamzito

Msaada kuhusu anti D na negative rhesus kwa mjamzito

kerai

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
222
Reaction score
150
Wa ndugu ninamjamzito,anamimba ya week 34 madoctor walisahau kumpa Anti D injection kwa sababu mwanamke ana 0 negative na mume ana B positive,so alitakiwa apewe mimba ikiwa na week 28 lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo nao anaweek 34 na hajachomwa bado.
je mtoto anaweza kuwa amedhurika kwa uchelewaji huu,na je akichomwa now kuna effect zozote.
na kwa nini hiyo dawa iko bei juu hvyo.

Na je kuchelewa huku kunaweza kuwa na madhara kwa mtoto?
Natanguliza shukrani.
======================================================================================================================
What is Rh-negative blood?
Everyone's blood is either Rh-positive or Rh-negative -- positive means you have a certain protein (called antigens) on the surface of your red blood cells, and negative means you don't. If you're Rh-negative and baby's RH-positive, then there could be problems.
What are the signs of Rh-negative blood?
There aren't any symptoms. In fact, your Rh factor doesn't affect your health at all -- except during pregnancy.
Are there any tests for Rh-negative blood?
Yes, a prenatal blood test will let you and your doctor know whether you're Rh-negative or Rh-positive. If you're negative, around week 28 of your pregnancy you'll get what's called an indirect Coombs test, which checks to see if your body's making Rh antibodies, which is a sign baby's Rh-positive.
How common is Rh-negative blood?

Only about 15 percent of people are Rh-negative, so it's not exactly common, but it's widespread enough that your doctor should know how to handle it.
How did I get Rh-negative blood?
You inherited your Rh negativity. If your baby is Rh-positive, he must have inherited his Rh factor from your partner.
How will my Rh-negative blood affect my baby?
If baby is Rh-negative too, it won't. But if baby's Rh-positive, your body could start making antibodies to attack the positive Rh factor in baby's blood.
This usually isn't a problem in a first pregnancy -- unless you have an abdominal injury, bleeding or your and baby's blood mixes some other way. But if you have a second baby that's Rh-positive, those existing antibodies could destroy his red blood cells, causing a condition called hemolytic disease. Hemolytic disease could cause anemia and other problems, and in rare cases, death.

The good news is, as long as you're seeking prenatal care, your doctor can be on top of an Rh incompatibility and head off problems (see next page for treatments, prevention and resources).
 
wa ndugu ninamjamzito,anamimba ya week 34 madoctor walisahau kumpa Anti D injection kwa sababu mwanamke ana 0 negative na mume ana B positive,so alitakiwa apewe mimba ikiwa na week 28 lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo nao anaweek 34 na hajachomwa bado.
je mtoto anaweza kuwa amedhurika kwa uchelewaji huu,na je akichomwa now kuna effect zozote.
na kwa nini hiyo dawa iko bei juu hvyo.
na je kuchelewa huku kunaweza kuwa na madhara kwa mtoto?
natanguliza shukrani

ni mtoto wake wa ngapi mkuu?
 
ikiwa mwanamke ana hiyo factor na aliwahi kutoa mimba au ilitoka yenyewe na sasa anataka kuzaa, inakuwaje?

mkuu kama mwanamke ni rhesus positive hakuna shida yoyote kwa mtoto wa pili atakama alifanya abortion...

angekua ni rhesus negative na amefanya abortion basi kuna posibilities kuwa alikua sensitised kwahiyo kwenye mimba yake ya pili anaitaji injection ili kumprotect mtoto
 
mkuu kama mwanamke ni rhesus positive hakuna shida yoyote kwa mtoto wa pili atakama alifanya abortion...

angekua ni rhesus negative na amefanya abortion basi kuna posibilities kuwa alikua sensitised kwahiyo kwenye mimba yake ya pili anaitaji injection ili kumprotect mtoto
shukrani kwa majibu
 
1. Anaweza kuchomwa wiki hiyo ya 34 kama prevention.

2. Mtoto akizaliwa apimwe group lake. Iwapo mtoto ni Rh negative basi hakuna haja ya kurudia. Akiwa Rh positive basi itabidi achomwe tena.

3. Mtoto wa kwanza hawezi kudhurika na Rh incompatibility kwa sababu antibodies za mwanzo ni kubwa hazipi kwenye placenta ila kwa mtoto wa pili ndio zinatengenezwa antibodies ndogo zinazopita.

4. Vipo vipimo vinavyoonyesha kama damu ya mama na mtoto imechanganyika. Vipimo hivyo ni vya gharama kubwa ndio maana ni rahisi zaidi kuwachoma sindano ya prevention wamama wote wenye watoto Rh positive kuliko kuwapima kama wanahitaji sindano hiyo.
 
Back
Top Bottom