Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye kufahamu jinsi ya kufanya appeal anielekeze tafadhali,
Natanguliza shukrani zangu kwako.
Appeal ipi ya mahakaman, chuo au baraza la kata?
mtu anashida na asaidiwe co kumlaumu au kumkejeli
mtu anashida na asaidiwe co kumlaumu au kumkejeli
wat du you mean....jmn hbu acheni kulaumu watu hakuna anyependa hya yanayotokea yatokee....sasa ukimlaumu mtu asisome course flani eti kisa non priority hzo za priority watanzania wote tungeweza kusoma jmn....na nshangaa sana hii nchi eti non priority ni masomo ya art tu....ndo maana ufisadi hautaisha kamwe tanzania rly inakatisha tamaa kabisa mbunge kupwa laki tatu kwa siku huku mtu anshindwa kwenda chuo kisa ada kwl kwl si laana hii jamn...god bless us nd utupe sote nguvu na uvumilivu kwenye kipindi hiki kigumu
mambo mengine ni mtu anafanya ilhali anajuaa nini kitatokea mbeleni... tunatabia yakujaribu sana hadi kwenye mambo mhimu