Msaada kuhusu application ya HELSB

Msaada kuhusu application ya HELSB

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
184
wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je hatapata mkopo aua itakuaje...??
 
Subiri wakifunga application watatoa majina ya watu waliokosea kufanya application ikiwemo kusahau kusaini baadhi ya sehemu katika form then mtapewa muda wa kwenda kusign
 
wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je hatapata mkopo aua itakuaje...??

cdhani kama atapata ungerudia tu kama inawezekana, mdogo wng mwaka juzi aliacha kuweka sahihi yake sehemu 1 tu hakupata kabisa
 
kwali majina ya waliokosea yalipotoka alirekebisha..??
 
Yatatoka majina ya waliokosea kisha utarekebisha.
 
hakurekebisha kwa sababu hakupata taarifa kama yalirudishwa ya waliokosea akawa amechelewa, ila uwe makini sana ili wakitoa tu wale wa marekebisho uangalie na ufanye kwa wakati ili dogo apate loan maisha ya chuo magumu sana bila hiyo kitu
 
toa copy yenye usahihi then utume don't fodge more time for waiting a mercy door if possible do now ,the world is in changing even the system changing also you never know this year what will happen
 
unamaanusha nitume photocopy nitume mkuu
 
We fanya kuandaa nauli ya kutoka hapo ulipo mpaka Dar ofisi za bodi ya mkopo na hela ya chakula ya kutosha maana ni lazima uende Dar.. Kwa nini nakwambia uwe na hela ya kutosha? Sababu ni hizi hapa:

>>>Si kwamba ukifika tu unasaini na kurekebisha mapungufu, waweza ambiwa njoo kesho kwani mhusika ana kikao cha dharura... au muitwe kwa majina halafu ukute jina lake mwnafunzi surname inaanza na alphabet 'Z' ndo utafurahi!!!

NI imani atapata mkopo, ila kaza roho kwa kosa ulilofanya!!!
na
wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je hatapata mkopo aua itakuaje...??
 
mkuu kwa population ya hawa vijana mwaka mkopo unaweza kuu sikia redio na kwenye social media
 
We fanya kuandaa nauli ya kutoka hapo ulipo mpaka Dar ofisi za bodi ya mkopo na hela ya chakula ya kutosha maana ni lazima uende Dar.. Kwa nini nakwambia uwe na hela ya kutosha? Sababu ni hizi hapa:

>>>Si kwamba ukifika tu unasaini na kurekebisha mapungufu, waweza ambiwa njoo kesho kwani mhusika ana kikao cha dharura... au muitwe kwa majina halafu ukute jina lake mwnafunzi surname inaanza na alphabet 'Z' ndo utafurahi!!!

NI imani atapata mkopo, ila kaza roho kwa kosa ulilofanya!!!
na

kwahiyo saiv majina yamesha toka?
 
Yatatoka majina ya waliokosea kisha utarekebisha.

Hawa bodi sio watu wazuri kabisa tusikariri kama kurudia maana wanaweza kufanya lolote alimradi tu kupunguza watu,Mimi mwenyewe nilikosa mkopo kwa sababu ya kijinga sana na course yangu ni priority,yaani walinihangaisha semester mzima mwisho wa siku wakaniambia niombe mwakani tu maana budget imeisha,nilitaman nijifunge mabomu nijiripue pale,but maisha yanakwenda na now naingia 2nd year.
 
Kwa waalimu wa sayansi sio rahisi kukosa mkopo, as i've heard
 
Hawa bodi sio watu wazuri kabisa tusikariri kama kurudia maana wanaweza kufanya lolote alimradi tu kupunguza watu,Mimi mwenyewe nilikosa mkopo kwa sababu ya kijinga sana na course yangu ni priority,yaani walinihangaisha semester mzima mwisho wa siku wakaniambia niombe mwakani tu maana budget imeisha,nilitaman nijifunge mabomu nijiripue pale,but maisha yanakwenda na now naingia 2nd year.

so umeshaomba mkuu?
 
Back
Top Bottom