wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je hatapata mkopo aua itakuaje...??
kwali majina ya waliokosea yalipotoka alirekebisha..??
toa copy yenye usahihi then utume don't fodge more time for waiting a mercy door if possible do now ,the world is in changing even the system changing also you never know this year what will happen
wadau naomba mnisaidie maana last week nilimsaidia kutuma form za bodi ya mikopo mdogo wangu aliepo jeshini kigoma na nilsahau kuweka kopi ya matokeo yake ya form four na sign ya mdhamini sasa je hatapata mkopo aua itakuaje...??
We fanya kuandaa nauli ya kutoka hapo ulipo mpaka Dar ofisi za bodi ya mkopo na hela ya chakula ya kutosha maana ni lazima uende Dar.. Kwa nini nakwambia uwe na hela ya kutosha? Sababu ni hizi hapa:
>>>Si kwamba ukifika tu unasaini na kurekebisha mapungufu, waweza ambiwa njoo kesho kwani mhusika ana kikao cha dharura... au muitwe kwa majina halafu ukute jina lake mwnafunzi surname inaanza na alphabet 'Z' ndo utafurahi!!!
NI imani atapata mkopo, ila kaza roho kwa kosa ulilofanya!!!
na
Bado mkuu- kwa mujibu wa mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Bw Mwaisoba- Bodi imeanza kupitia form za waombaji kuangalia taarifa muhimu za waombaji- vuta subira!kwahiyo saiv majina yamesha toka?
Yatatoka majina ya waliokosea kisha utarekebisha.
Hawa bodi sio watu wazuri kabisa tusikariri kama kurudia maana wanaweza kufanya lolote alimradi tu kupunguza watu,Mimi mwenyewe nilikosa mkopo kwa sababu ya kijinga sana na course yangu ni priority,yaani walinihangaisha semester mzima mwisho wa siku wakaniambia niombe mwakani tu maana budget imeisha,nilitaman nijifunge mabomu nijiripue pale,but maisha yanakwenda na now naingia 2nd year.
so umeshaomba mkuu?
ni masomo ya sayansi mkuu.