Msaada kuhusu application ya HELSB

majina yameshatoka na jina la dogo nimeluona sema nashindwa kuelewa ni lazima aende yeye physical au hata mimi naweza kwenda maana still wapo jeshini
 
majina yameshatoka na jina la dogo nimeluona sema nashindwa kuelewa ni lazima aende yeye physical au hata mimi naweza kwenda maana still wapo jeshini

ingekuwa tatizo ni cheti cha f4 ungekituma tu ila hiyo signature ya mdhamin itakutaka uende physically kabla ya 11 sept ukaiweke.,hapo dogo hahusiki peleka na cheti chake cha f4,msadie dogo life la huku bila mkono wa heslb ni shiiiiidddddaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…