Karibia wk sasa,ninilipa hela kwa ajjil ya appl za nacte kwa mpesa,voda wakaniletea msg kuwa imedhibitishwa imetumwa nacte,lkn nacte mpaka sasa hawajanitumia username na password,wakat nimeshajiregister,hvyo hawajanitumia username na password,nikiwapigia hawapokei,naomba msaada,wa namna yeyote ile maana deadline ni 17/07.