habar wana jf,juz nililipa pesa kwa mpesa leo ndo nikapata msg kutoka tcu,cha ajabu nimefanya self registration vizr nikaweza kulogin lkn nikiclick personal information inatiki kwenye set secret nikiangalia o level results napata matokeo ya mtu mwingine,jaman nimechanganikiwa,nikiwapigia no hazipokelewi,mwenye kujua anisaidie