msaada kuhusu arusha university masters programme

msaada kuhusu arusha university masters programme

mr traders

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
38
Reaction score
15
hellow wadau , nimechagulia kwa master programme ya business administration in marketing and Entrepreneurship, na uliza je chuo hicho kimesajiliwa? na vp kuhusu quality ya elimu pale na kutambulika kwake? naomben ushaur wenu wadau
 
:evil: Ungeomba ushauri kabla hujatuma maombi!
 
Nenda TCU ukaulizie au tembelea website ya TCU ili upate uhakika kwani hata mimi hicho chuo huwa nakisikia tu sijawahi kukutana na mtu aliyesoma hapo. Kama ni MBA marketing ukiwa hapo Arusha mbona unaweza kusoma Open University kwa miezi 18 tu tena Executive MBA ambayo unaingia kabisa darasani na unapigwa lecture na maprofesor/madoctor wa ukweli waliobobea kwenye fani? Achana na hao Arusha university pengine ndio kwaanza wanaanza kutoa masters.
 
yap asante kwa ushaur mkuu, nimetembelea web ya tcu na nimekuta kimesajiliwa tayar tangia mwaka 2003 na kuna pia masters wamesha graduate intake moja, lengo langu mm n kupata uhakika zaid. alafu mkuu hapo open university arusha kwan wanaanza lin?
 
Dah yani umefanya applctn kabisa ndio unaomba ushauri? hata hayo maswali unayouliza nina shaka na uwezo wako sijui kama hata hiyo master utaiweza.
 
yap asante kwa ushaur mkuu, nimetembelea web ya tcu na nimekuta kimesajiliwa tayar tangia mwaka 2003 na kuna pia masters wamesha graduate intake moja, lengo langu mm n kupata uhakika zaid. alafu mkuu hapo open university arusha kwan wanaanza lin?

Open wakati wowote unaruhusiwa kutuma application na hata unaweza kuanzia semester ya pili then ukaja kufanya semester ya kwanza baadae. Nenda pale kwenye ofisi zao karibu na AICC uchukue fomu na kupata taarifa zaidi. Ada kwa programme nzima ni mil 4.5 na unapata breakfast na lunch plus mazingira mazuri ya kusomea. nakushauri usome hiyo kwani mimi mwenyewe niliisoma na nimeona matunda yake.
 
Back
Top Bottom