Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Habari wanajamii forum.
Ningependa kuuliza kuhusu Namba ya Uthibitisho wa Diploma ya NECTA (Award Verification Number). Nina Diploma kutoka NIT na ninataka kuendelea na masomo ya ngazi ya juu, lakini bado sijapata Namba hii ya uthibitisho. Namba hii inahitajika ili kuomba mkopo wa masomo, na muda wa kuomba mkopo unakaribia kumalizika, swali langu nawezaje kuipata kwa uharaka zaidi ndugu zangu?
Ningependa kujua ni njia gani ya haraka zaidi ya kupata Namba hii ya uthibitisho.
Pia, ningependa kuuliza kama ninaweza kutumia matokeo yangu ya mtihani (transcript results) badala ya Namba ya Uthibitisho (award verification number) ili kuomba mkopo?
Natanguliza Shukurani.