Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Wakuu mi nimechaguliwa hio hapo course pale muccobs. naomba kujuzwa kuhusu uwanja wake wa ajira(kujiajiri au kuajiriwa) na inadeal na vitu gani hasa. Nilicheza kamari kene maisha niliiweka ya tano huku nikijua siwezi kuchaguliwa