Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Aug 31, 2013 #1 Wakuu mi nimechaguliwa hio hapo course pale muccobs. naomba kujuzwa kuhusu uwanja wake wa ajira(kujiajiri au kuajiriwa) na inadeal na vitu gani hasa. Nilicheza kamari kene maisha niliiweka ya tano huku nikijua siwezi kuchaguliwa
Wakuu mi nimechaguliwa hio hapo course pale muccobs. naomba kujuzwa kuhusu uwanja wake wa ajira(kujiajiri au kuajiriwa) na inadeal na vitu gani hasa. Nilicheza kamari kene maisha niliiweka ya tano huku nikijua siwezi kuchaguliwa
Pung'o boy JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 685 Reaction score 305 Aug 31, 2013 Thread starter #2 Nataka ni shift kwenda BAAF, vp taratibu za kubadili course pale muccobs zipo vipi, mwenye ujuzi na hiki chuo naomba msaada wako
Nataka ni shift kwenda BAAF, vp taratibu za kubadili course pale muccobs zipo vipi, mwenye ujuzi na hiki chuo naomba msaada wako