Msaada kuhusu basic salary...

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,374
Reaction score
6,857
Wanajanvi kuna kitu hapa kwenye mkataba wangu wa kazi nahisi hakipo sawa. Naomba ufafanuzi kwenye mkataba wangu wameandika basic salary yangu ni kiasi flani(say laki 5) lakini kiasi ninachopata in hand nakuta kimekatwa(say laki 3) ina maana wamekata income tax pamoja na NSSF. Sasa kwa ufahamu wangu hii basic salary ndio take home na haitakiwi kukatwa,sasa nashangaa wamekatajeee? Maana gross salary ndio inakatwa sasa hapa inakuaje? Msaada plz.
 
Basic salalry = gross salary = bado hawajakata vyao.
Net salary= take home = ndicho unchobeba kwenda nyumbani xa xa
 
...Yes ze encyclopedia uko sahihi. Sizinga, take it from encyclopedia

Ok kwahiyo hapo nikubaliane na matokeo kwamb ipo sahihi kwa basic salary kukatwa?
 

inakuwa hivi:Basic salary +Allowancesz subjected to 1.PAYE (Pay as yo earn)
2.NSSF (only on Basic salary)
3.Other deductions
Net salary=Take Home xxxxxxxxxxxx
kama ningejua data zako ningefanya hesabu ya net income hapa hapa.
 
Nisahihi walivyokukata kwa sabababu basic salary ni mshahara kabla ya makato.ukitaka usikatwe jaribu airtel money.
 
Yeees ni kweli kabisa Basic salary ni kabla ya Makato amount due ndo take home hapo hata kama umekopa inakatwa unabak take home yako
 
Kaka hiyo ni kweli kabisa basic salary sio take home, hapo lazima wakisua wachukue zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…