Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Salam wana jf
Mtu unaweka fedha zako katika Benki zetu zenye
matawi mpaka Wilayani na baadhi ya hayo
Matawi yanapakana na Nchi jirani.
Inapotokea mfano tawi ulilofungua Akaunti
linapakana na Nchi jirani halafu kukatokea
machafuka ambayo kwa mfano yakapelekea
tawi hilo la Benki kulipuliwa kwa mabomu.
Suala la stahiri za mteja zinakuwaje?
Ingawa najua matawi mengi ya Benki
zetu yameunganishwa kwa mtandao
ikiwa na maana taarifa za mteja zaweza
patikana sehemu nyingine za tawi.
Maswali yangu ni haya:-
1. Ukiona hali ni tete unaweza kutoa pesa
zako zote kabla benki haijaungua moto
ili kuokoa chako?
2. Zikiungua moto utaratibu ukoje namna
yakupata kiasi chako sahihi ulichoweka
Tafadhali karibuni kwa michango yenye ili
nielewe namna taratbu zilivyo.
Natanguliza shukrani kwa wote!