Msaada kuhusu biashara hii ya kimtandao

Joseph 44

Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
49
Reaction score
21
Poleni sana na majukumu wadau.katika pitapita zangu nimekutana na hili swala la pepsi kuanzisha biashara mtandoni wana sema ukitaka kuwa member nilazima ulipe ada na watakuweka kwenye madaraja yanayojulikana kama VIP kulingana na hela yako mfano kwa wale wa VIP 1 unalipa 30000 ila kwa mwezi unapata 56250 na ukijiunga VIP 2 unalipa 50000 kama ada na unakuja kupata 78947. 37 kwa mwezi kama faida na unaweza ukajiunga VIP mbali mbali kulingana na uwezo wako wa kifedha.

Wadau nataka kujua je hili swala limekaeje ni kweli ama tumepigwa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…