KRISTIAN P
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 352
- 57
Habari zenu JF mimi ni kijana nina fanya biashara nime jihajiri nina ofisini yangu naingiza laki sita kwa mwenzi kwa sasa nina mpango wa kuongeza biashara nyingine si mnajua maisha ya kibongo huwezi tegemea kitu kimoja, naombeni ushauri nataka kuchukua mkopo bank wa milioni 5 ninunue bajaji mauri vp sina deni kokote na sija wahi kukopa bank je utaratibu upo vp kama una chukua milioni tano unarejesha sh.napi kwa mwezi nina akaunti Access Bank na EXIM bank huwa na peleka mapato yangu ya kila siku kwenye hizo akaunti.