Msaada:kuhusu biashara y nguo vijijini

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Bandugu..

Naombeni ushauri ,nataka nipeleke nguo mitumba vijijini kw hapa dom, je itanilipa??
Changamoto? Je?

Kwa aliyewahi kufanya biashara hii afanye ku share experience yake.. Plz.
Maana mimi siuzi bali naweka mtu
Asante
 
inategemea nguo gani...uza vitenge ..nguo za wanawake...mi nlipga hela sana,,usimpe mtu...ukiwa ns pikipiki ni bora zaidi...wagogo wakivuna kununua vtu hawawazi....N:B:CHUNGA CHUMAULETE...NLIPIGWA MOJA IYO SITASAHAU
 
duh mkuu me nna mitumba ya kike tu ntaongezea na vitenge kama ulivosema, eti ulipigwa chuma ulete? duh wagogo hawa?
so uliuza msimu wa mavuno au msimu wa kawaida tu mkuu?
 
msimu wa mavuno kama huu..ikifika mwezi wa tisa acha..tafta mishe nyingine
 
inategemea nguo gani...uza vitenge ..nguo za wanawake...mi nlipga hela sana,,usimpe mtu...ukiwa ns pikipiki ni bora zaidi...wagogo wakivuna kununua vtu hawawazi....N:B:CHUNGA CHUMAULETE...NLIPIGWA MOJA IYO SITASAHAU
Je ukipeleka maeneo ya chuo vipi Mkuu hawanunui?
 
Hallo naomba kuuliza nguo za watoto dar zinapatikana sehem gani na bei zikoje kwa jumla naombeni msaada wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…