Msaada kuhusu biashara ya kwenye mitandao

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
552
Reaction score
543
Naomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao.

Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kuifanya
Jinsi ya kupata connection
Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara

Rgds
Uduzungwa
 
Hujaeleza biashara gan lbda maana mtandaon kuna biashara nyingi za real na fek
 
Naomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao.

Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kuifanya
Jinsi ya kupata connection
Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara

Rgds
Uduzungwa
Funguka cheif
 
Naomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao.

Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kuifanya
Jinsi ya kupata connection
Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara

Rgds
Uduzungwa
Hivi unajua kua namna ya unavyojieleza unaweza sababisha upatiwe msaada au ukaukosa? [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…