Naomba msaada wenu, kuna bidhaa nimeiona Alibaba nikaipenda, muuzaji anasema yuko USA, tumebargain bei na kukubaliana. Tatizo nasita kumtumia hela make naogopa kutapeliwa. Naomba uzoefu kwa yeyote aliyewahi kuagiza bidhaa kutoka kwenye huu mtandao na ikafika Tanzania.