Tumia mtandao wa alibaba kufanya malipo, hapo utakuwa salama.Alibaba nikaipenda, muuzaji anasema yuko USA, tumebargain bei na kukubaliana. Tatizo nasita kumtumia hela make naogopa kutapeliwa.
Naomba msaada wenu, kuna bidhaa nimeiona Alibaba nikaipenda, muuzaji anasema yuko USA, tumebargain bei na kukubaliana. Tatizo nasita kumtumia hela make naogopa kutapeliwa. Naomba uzoefu kwa yeyote aliyewahi kuagiza bidhaa kutoka kwenye huu mtandao na ikafika Tanzania.
Akaunti ni ya mtu binafsi. Na ameweka Tangazo kwenye Alibaba. Nimeangalia nikaona kama vile alibaba hawauzi bidhaa bali wanakutanisha wateja na wauzaji. Naomba uzoefu wako mkuu kama ulishanunua hapo.Kama hela unatuma kwenye akaunti ya Alibaba fresh,kama ni akaunti binafsi shtuka uwezekano wa kutapeliwa ni mkubwa
Akaunti ni ya mtu binafsi. Na ameweka Tangazo kwenye Alibaba. Nimeangalia nikaona kama vile alibaba hawauzi bidhaa bali wanakutanisha wateja na wauzaji. Naomba uzoefu wako mkuu kama ulishanunua hapo.
Asante sana mkuu.Mi uzoefu nina Aliexpress mkuu,kampuni ya mtoto wa Alibaba,huko unalipia kwenye akaunti ya kampuni,jaribu kwenda huko,kama ukiikuta hiyo product nunua huko kwani wapo poa tu na mzigo unafika ontime
Asante sana mkuu.
Asante sana mkuu kwa alert yako muhimu sana.Kuwa makini mzeee tena hao USA noma
Mimk nilitaka kununu atv ila bei ndo ilitisha tv ya 1.5 huku kule laki tatu kumpelelez vizuri mixer google nikakuta ni matapeli nikachukua ile screenshot ya utapeli nikawatumia nikamalizia na go f**k yourself