Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 683
- 782
Daaaah mkuu somo zuri sanaMkuu naomba nikueleze kwa kifupi
Bima kubwa (Comprehensive Insurance) inalinda gari lako kipindi likipata ajali, wizi wa gari, moto na pia madhara/ajali utakayo msababishia mtu (kifo, madhara mwilini na hata uaribifu wa mali)...
Mkuu naomba nikueleze kwa kifupi
Bima kubwa (Comprehensive Insurance) inalinda gari lako kipindi likipata ajali, wizi wa gari, moto na pia madhara/ajali utakayo msababishia mtu (kifo, madhara mwilini na hata uaribifu wa mali)..
Asante saana kwa ufafanuzi mkuu..
Je, kwa kifupi gharama halisi ya comprehensive insurance ni asilimia ngapi ya gharama halisi ya gari lako?
Pia ni kampuni gani ya insurance ambayo ni nzuri kwa huduma zake in general?
Kwa uzoefu wangu kwamaana yalishawahi kunitokea garama ni asilimia 3.5 ya bei ya gari yako plus VAT asilimia 18
Kuhusu campany mi nilikata RELIANCE INSUARENCE jamaa hawana longo longo kama una dockment zote j
PremiumHebu tufanye nina IST ambayo nimenunua TSH. 10 million. Bima kubwa unaweza kunitoka kiasi gani kwa mwaka.