Msaada kuhusu Bima ndogo ya pikipiki

Msaada kuhusu Bima ndogo ya pikipiki

mr_politician

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
631
Reaction score
452
Habari jaman,

Naomba kueleweshwa vizuri juu ya huu utaratibu mpya wa bima za vyombo vya moto, Je?

1. bei ya bima ndogo imebadilika?
2. tunakata io bima kwa hawa hawa mawakala au ni hadi bank tuu?

Mana nimeenda bank flan nika ambiwa nilipe 85 na bank nyingine 76.

Nishazoea ya pikipiki hua nalipia 59 thirdparty, au huu mfumo mpya wa stiker za kielectronic umekuja na bei mpya?

giphy.gif
 
Back
Top Bottom