mr_politician JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 631 Reaction score 452 Apr 14, 2021 #1 Habari jaman, Naomba kueleweshwa vizuri juu ya huu utaratibu mpya wa bima za vyombo vya moto, Je? 1. bei ya bima ndogo imebadilika? 2. tunakata io bima kwa hawa hawa mawakala au ni hadi bank tuu? Mana nimeenda bank flan nika ambiwa nilipe 85 na bank nyingine 76. Nishazoea ya pikipiki hua nalipia 59 thirdparty, au huu mfumo mpya wa stiker za kielectronic umekuja na bei mpya?
Habari jaman, Naomba kueleweshwa vizuri juu ya huu utaratibu mpya wa bima za vyombo vya moto, Je? 1. bei ya bima ndogo imebadilika? 2. tunakata io bima kwa hawa hawa mawakala au ni hadi bank tuu? Mana nimeenda bank flan nika ambiwa nilipe 85 na bank nyingine 76. Nishazoea ya pikipiki hua nalipia 59 thirdparty, au huu mfumo mpya wa stiker za kielectronic umekuja na bei mpya?
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,532 Reaction score 2,415 Apr 15, 2021 #2 Na mimi nasubiri majibu
mr_politician JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 631 Reaction score 452 Apr 25, 2021 Thread starter #3 hii Mr Confidential said: Na mimi nasubiri majibu Click to expand... sehem nikama hakuna wachangiaji sijui....
hii Mr Confidential said: Na mimi nasubiri majibu Click to expand... sehem nikama hakuna wachangiaji sijui....
D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Apr 25, 2021 #4 Ajabu no kubwa hata wahusika wako kimya.