K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 65 Reaction score 47 Nov 18, 2020 #1 Wakuu habari, Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
Wakuu habari, Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,847 Reaction score 61,886 Nov 19, 2020 #2 😁😁 ilikua njia yangu ya ku cheat siku nikiondoka mapema (nikitoroka job), hua si sign out
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,637 Reaction score 16,913 Nov 19, 2020 #3 Unataka kujua njia ya kufanya udanganyifu?