Msaada kuhusu Bsc.Ed(Bachelor of science with Education)...please!!

yo-wizzle

Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
36
Reaction score
5
Nimepangiwa course programe hiyo,naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye ufahamu,je?naweza kuchukua Chemistry/Mathematics combination,pia naomba kujuzwa ukisoma masters unaweza ukasoma kitu tofauti na education kwa kozi hii?
 
vinawezekana vyote so be free by meneja wa jukwaa oil sumu
 
kasome mkuu mm nimesoma Bsc.with ed biology and chemistry kozi ngumu acha CM inaenda vizur
 
Nimepangiwa course programe hiyo,naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye ufahamu,je?naweza kuchukua Chemistry/Mathematics combination,pia naomba kujuzwa ukisoma masters unaweza ukasoma kitu tofauti na education kwa kozi hii?

Utaruhusiwa kusoma masomo mawili ya sayansi i.e physics/Chem au phy/bios, au phy/maths, au maths/chem kwa kadri ya combination yako plus Educational courses kama Curriculum, Educ.Foundation, Measurement and Evaluation,Ed. Statistics, Ed.Psychology, Teaching methodologies e.t.c kuhusu masters unaruhusiwa kwa kadri ya vigezo na masharti ya masters husika..
 
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa uelekeo...asante sana...
 
Nashukuru kwa mchango wenu wana Jf,now nimepata ufafanuzi wa swali langu but nakaribisha mawazo ya wengi wenye kufahamu hili...
 
iko poa sana hyo kozi,ngojea mzigo wa TCU uteme,ujue umepangiwa wap,be patient
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…