Msaada kuhusu Bulb camera

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Habari wadau,

Nataka kununua hizi camera zenye muonekano wa bulb (taa) ili nizitumie kama CCTV kwaajili ya ulinzi nyumbani kwangu na eneo la biashara.

Naombeni ushauri wadau kuhusu ubora,uimara na ufanisi wake maana najua wapo watu humu mmetumia na mnazijua vizuri.Nitangulize shukurani[emoji120]
 
Hata nami ni mhitaji wa CCTV aina hizo. Naamini nitanufaika na majibu yatakayotolewa na members wa jukwaa hili. Karibuni.
 
Kuna jamaa alikua na uzi unaoelezea kwa kina hizo mambo za camera za ulinzi, bahati mbaya uzi wenyewe nimeusahau.
Tuwaombe Moderator kama wanaweza kushare link au kuuungajisha huu uzi na ule, maana bila shaka jibu lako lipo kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…