Ndugu wanajamvi napenda kuwaomba mnipe wazo hivi ukiwa na business plan unaweza kopa benki sababu ndugu wanajamvi Mimi namtaji Wa milioni moja pamoja pikipiki boksa tu.Naomba mawazo yenu wakuu.