Msaada kuhusu c.huo cha madini dodoma

Msaada kuhusu c.huo cha madini dodoma

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Naomba mwenye kujua vigezo wanavyohitaji chuo cha madin dodoma ili nimpeleke mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana
 
awe amefaulu Physics, Mathematics, Chemistry, Biology na Geography...atachagua kati ya Diploma in Geology, Mining Engineering, Mineral Exploaration etc. l
 
Chuo cha madini dodoma wanapokea waliopata math C,physics D,chemistry D,geography D
 
awe amefaulu Physics, Mathematics, Chemistry, Biology na Geography...atachagua kati ya Diploma in Geology, Mining Engineering, Mineral Exploaration etc. l

vipi kuhusu ukiitaji udhamini wa selikari
 
Back
Top Bottom