konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
Hapana mkuu. Huyu ni mama angu. Ni mtu ninayemjua.Ni nani,anaweza kuwa tapeli,kuwa makini sana.Mwambie akutumie western union.
Jibu swali nililouliza mkuu.Hamna western union huko??
unashida halafu unaleta ujuaji mwingi..Jibu swali nililouliza mkuu.
unashida halafu unaleta ujuaji mwingi..
Kama hiyo western union ipo huyo mama hawezi kuitumia na kucancel hiyo kutuma cheque..Nimejaribu kuangalia urahisi tu
Anyway,utajua mwenyewe
Ni fedha nyingi kiasi gani mpaka zilete shida namna hiyo? Mbona utumaji wa fedha kwenda Tanzania ni rahisi sana? Mwambie atumie WorldRemit na unaweza kuchagua hata fedha ziingie kwenye Mpesa au TigoPesa kwenye simu yako.Habari zenu wakuu.
Kwa wale wenye uelewa wa hili naomba mnifahamishe kama inawezekana.
Kuna hela kutoka Canada natakiwa nitumiwe. Mtumaji amejaribu kunitumia kupitia bank account yangu hapa nchini.
Hela kaituma toka tarehe 10, siku ya Jumanne lakini hela haikuweza kufika kwenye account yangu mpaka imerudi tena kwakwe.
Ameniambia "inaonekana kwa sasa Tanzania kuna matatizo sana kumtumia hela mtu". Jana na juzi nilienda bank kuwauliza shida ni nini, mbona hela imetumwa lakini hainifikii?
Majibu yao wanasema hakuna shida yoyote, Ila mimi nadhani kuna shida sehemu, huenda labda serikali imeweka masharti flani flani kuhusu kutumiwa hela kutoka overseas.
Mtumaji amesema option aliyonayo ni kuniandikia cheque na kuituma kwa njia ya air mail. Swali langu ni hili "Je inawezekana ku-deposit cheque kutoka nje ya nchi hapa nchini?"
Natanguliza shukrani zangu.
Uko wapi ndugu? Canada mpesa ipo? Inakuwaje hiyo? Hebu elezea kidogo.Mimi natumia mpesa kutuma hela nyumbani.ndani ya do chache tu mama anapokea hela.sihangaiki tena na western union wala moneygram
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu tatizo letu kila mtu ni mjuaji.Watz tumezidi ujuaji. Katika waliomjibu hakuna hata mmoja aliyejibu kama mleta mada alivyouliza. Hajataka options, ila kasema utaratibu wa kutumiwa cheque toka nje na kuchukua cash kwa local bank kama upo uwezekano. Ndio maana tunafail mitihani kwa kujibu mbadala wa jibu halisi.
Kabisa mkuu. Watu hawajibu swali bali wanajibu kile wanachodhani napenda kukisikia.Watz tumezidi ujuaji. Katika waliomjibu hakuna hata mmoja aliyejibu kama mleta mada alivyouliza. Hajataka options, ila kasema utaratibu wa kutumiwa cheque toka nje na kuchukua cash kwa local bank kama upo uwezekano. Ndio maana tunafail mitihani kwa kujibu mbadala wa jibu halisi.
Noma mzee wangu. Hivi kama hujui kitu si unapiga kimya kwani kuna haja gani ya kujaza thread zisizo na majibu kwa swali husika. Kila mtu anataka kujifanya anajua huwa anatumiwa pesa kutoka abroad. Swali la mleta mada la msingi sana nami nikajua nitajifunza kitu. Lakini majibu yote ni blah blah tu.Babu tatizo letu kila mtu ni mjuaji.
Hili ni tatizo sana hapa JF. Mwisho wa siku wanatoka nje ya reli na mada inakuwa haina maana tena.Kabisa mkuu. Watu hawajibu swali bali wanajibu kile wanachodhani napenda kukisikia.
Natuma kutoka Quebec Canada na mama anapokea kwa mpesa.aijawahi kusumbua labda kama anatuma mihela mingi ndio mana inagoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko wapi ndugu? Canada mpesa ipo? Inakuwaje hiyo? Hebu elezea kidogo.