J JAMES EDWIN Member Joined Sep 6, 2012 Posts 29 Reaction score 1 Mar 1, 2013 #1 Naombeni mnjuze course nzuri kati ya tele or computer eng pale DIT
R raia_mwema JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 479 Reaction score 314 Mar 1, 2013 #2 Sikukatishi tamaa ila I.T na tel kwa sasa hazina soko... Kama unataka uhakika wa kazi nakushauri usome kozi ya usanifu majengo au ciliv eng.
Sikukatishi tamaa ila I.T na tel kwa sasa hazina soko... Kama unataka uhakika wa kazi nakushauri usome kozi ya usanifu majengo au ciliv eng.
M mariki.jr Member Joined Nov 7, 2012 Posts 35 Reaction score 4 Mar 1, 2013 #3 ha ha ha ha ha!!! kaka raia_mwema ana ushauri mzur sana... ukitaka ukimailza tu ufanye kazi na baadae uwe na uwezo wa kujiajiri kama ukitaka...! nenda kasome civil engineering!!!!!
ha ha ha ha ha!!! kaka raia_mwema ana ushauri mzur sana... ukitaka ukimailza tu ufanye kazi na baadae uwe na uwezo wa kujiajiri kama ukitaka...! nenda kasome civil engineering!!!!!